Header ads

Header ads

Tangazo kwa Umma kutoka Wizara ya Elimu Sayanzi na Teknolojia

Unknown Tuesday, 31 January 2017 0

Serikali inatarajia kuajiri Fundi Sanifu wa Maabara ya Shule Daraja la II. Ajira hii ni kwa Fundi Sanifu wa Maabara ya Shule walio...

Ujumbe wa WhatsApp wamfikisha kizimbani Mwanafunzi Ardhi University

Unknown Saturday, 28 January 2017 0

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi Dar es Salaam ( ARU ) Juvenal Shirima amepandishwa kizimbani akikabiliwa na kosa la kuchapisha taarifa...

Ujumbe wa Ndalichako kwa Tume ya sayansi na teknolojia (costech) Zanzibar

Unknown Friday, 27 January 2017 0

Waziri wa elimu, sayansi na teknolojia mhe: joyce ndalichako ameitaka tume ya sayansi na teknolojia (costech), ofisi ya zanzibar kupanu...

Mabasi ya Abiria yasiyokuwa na dereva yaanza kutumika Paris Ufaransa.

Unknown Tuesday, 24 January 2017 0

Manispaa ya Paris imeanzisha utumizi wa mabasi yanayotumia umeme kusafirisha abiria kwa masafa mafupi. Usafirishaji kwa kutumia mabasi h...

Kituo cha utafiti wa kilimo Makutupora Mkoani Dodoma.chapiga hatua kwa Teknolojia ya uhandisi jeni (GMO)

Unknown 0

KAMATI ya Taifa ya Matumizi Salama ya Bioteknolojia (NBC) imeridhishwa na  matumizi ya Teknolojia ya Uhandisi Jeni (GMO) yenye len...

Wanamazingira wazitaka serikali za Afrika kutumia Teknolojia ya nishati endelevu

Unknown 0

Wanamazingira barani Afrika wamezitaka serikali za nchi za Afrika kuwekeza zaidi kwenye miradi ya teknolojia ya nishati endelevu, ili ...

Zanzibar ndiyo ya kwanza kutumia Televisheni zenye rangi Afrika

Unknown Monday, 23 January 2017 0

Tukizungumzia ukuaji na Mapinduzi ya Teknolojia Barani Afrika, hatuwezi kuisahau zanzibar. Yasemekana kuwa Zanzibar ndio ilikuwa ya k...

Rwanda yaanzisha huduma za mVisa kurahisisha utumaji pesa kwa njia ya simu.

poatel Africa Sunday, 22 January 2017 0

Uchumi usio wa pesa taslimu wa Rwanda umepigwa jeki ,huku Benki ya KCB Rwanda ikijiandaa kuanzisha mfumo mpya wa malipo ambao unataraji...

Wanaopata Huduma za Simu Afrika ni wengi kuliko Huduma ya maji salama.

Unknown Tuesday, 10 January 2017 0

Kwa mujibu wa ripoti ya utafiti uliyofanywa na  Afrobarometer Utafiti ambao uliofanywa mwaka 2016. unadai Watumiaji wa simu Afrika ...

SERIKALI kutumia teknolojia mpya ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu

poatel Africa Tuesday, 3 January 2017 0

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amesema serikali imeamua kufanya jitihada hizo baada ya kubaini kut...

Malipo ya deni la Zantel kuelekezwa katika ujenzi wa madarasa 40 Kinondoni

poatel Africa Friday, 30 December 2016 0

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zantel Tanzania imelipa zaidi ya Sh milioni 687 baada ya kupewa siku saba na halmashauri hiyo iwe imeli...

Pato la Makampuni ya Mtandao wa Internet laongezeka China

poatel Africa Thursday, 29 December 2016 0

Taasisi ya mawasiliano ya habari ya China imekadiria kuwa pato la makampuni ya mtandao wa Internet la China litafikia dola bilioni 178 ...

Orodha ya Wanasayansi 10 bora Duniani waliotoa mchango mkubwa mwaka 2016

poatel Africa 0

Tovuti ya Gazeti la Maumbile la Uingereza imetangaza wanasayansi 10 muhimu zaidi duniani wa mwaka huu, ambao wote wametoa mchango kat...

Tanzania kuandaa maonesho ya teknolojia ya kilimo mwezi Januari

poatel Africa 0

Tanzania inatarajiwa kuandaa maonesho ya wazi ya kilimo yatakayofanyika Januari 26 na 27 mwakani katika mji wa Arusha. Maonesho hayo...

Bayport yatoa msaada wa kompyuta kwa Halmashauri ya Same

poatel Africa Tuesday, 27 December 2016 0

HALMASHAURI ya Wilaya Same imeanza kupokea faraja za msaada wa kompyuta mbili kati ya sita  zilizofikishwa mkoani Kilimanjaro, ikiwa ni...

Korea inaongoza kwa utumiaji wa teknolojia ya habari na mawasiliano mwaka 2016

poatel Africa 0

Muungano wa teknolojia ya habari na mawasiliano ITU umesema watu wengi wana fursa ya kupata mtandao wa intaneti lakini wengi hawatumii ...

Ethiopia Yaendelea kuzima mitandao ya simu za Mikononi na Mitandao ya Kijamii

poatel Africa Friday, 11 November 2016 0

Huduma zote za intaneti kwenye simu za mkononi zimeendelea kuzimwa nchini Ethiopia kwa siku saba sasa, wakati matukio ya ghasia za maan...

Samsung Galaxy Note 7 zapigwa marufuku kwa abiria wa ndege Canada

poatel Africa Monday, 17 October 2016 0

Abiria wa ndege wazuiwa kubeba simu za Samsung Galaxy Note 7 wakati wa safari nchini Canada Idara ya usafiri nchini Canada imetangaza k...

Samsung yapata hasara kubwa kwa kusitisha mauzo ya simu za Galaxy Note 7

poatel Africa Thursday, 13 October 2016 0

Kampuni kubwa ya teknolojia ya Samsung imepata pigo kubwa la hasara kutokana na hitilafu za simu zake za Galaxy Note 7. Siku chache zi...

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Uludag Waunda Gari la umeme

poatel Africa Sunday, 2 October 2016 0

Wanafunzi 7 wa kitivo cha uhandisi wa mashine cha chuo kikuu cha Uludag nchini Uturuki wamefanikiwa kuunda gari la kutumia nishati ya ...