Header ads

Header ads

Rwanda yaanzisha huduma za mVisa kurahisisha utumaji pesa kwa njia ya simu.

poatel Africa Sunday, 22 January 2017 0

Uchumi usio wa pesa taslimu wa Rwanda umepigwa jeki ,huku Benki ya KCB Rwanda ikijiandaa kuanzisha mfumo mpya wa malipo ambao unataraji...

Michael Owen amewekeza kwenye Website ya Michezo

poatel Africa Tuesday, 17 January 2017 0

Lengo la TeknoTaarifa ni kukuletea Taarifa murua za Teknolojia kutoka sehemu mbalimbali, Huwezi kubisha nikikwambia kuwa, eneo hili la t...

Tarajia kushuhudia Teknolojia ya akili za bandia (AI) ikichukua nafasi.

poatel Africa Sunday, 15 January 2017 0

Tarajia kushuhudia akili za bandia zikichukua nafasi kubwa zaidi pindi kasi ya intaneti ya 5G itakapoanza kutumika, tunaambiwa kuwa uwe...

Teknolojia ya Drone yatumika Kupima ramani Mpya ya Jiji la Dar

poatel Africa Saturday, 14 January 2017 0

Mamlaka ya mji wa Dar es Salaam, imeanza kutumia vifaa vya elektroniki vinavyopazwa angani, kuchukua picha zitakazotumiwa kuchora ram...

Ufaransa yaunda Meli ya kwanza inayotumia nishati ya jua

poatel Africa Friday, 13 January 2017 0

Kwa mara ya kwanza meli inayotumia nishati inayoweza kutumika kwa mara nyingi yatengenezwa na kukamilika nchini Ufaransa . Meli hiyo ni...

kupiga picha kwa Pozi ili kunaweza pelekea kuibiwa data zako Mtandaoni

poatel Africa Wednesday, 11 January 2017 0

Utafiti mpya wa Taasisi ya Taaluma za Teknolojia ya Japan (NII) unazua mashaka juu ya pozi hili maarufu la kupigia picha, hasa miongon...

Mahakama Imetakiwa kutumia teknolojia kutoa haki kwa wananchi.

Unknown Thursday, 5 January 2017 0

WATENDAJI wa Mahakama wametakiwa kuzingatia maadili ya kazi na kutumia teknolojia ya sasa kutoa haki kwa wananchi. Aidha, Idara ya m...

Matukio yaliyojili katika ulimwengu wa Teknolojioa Mwaka 2016

poatel Africa Saturday, 31 December 2016 0

MWAKA 2016 umefika ukingoni, kwanizimesalia  saa chache kabla ya kuingia 2017. Ahsante kwa wewe ambaye umekuwa mfuatiliaji wa website ...

Tanzania kuandaa maonesho ya teknolojia ya kilimo mwezi Januari

poatel Africa Thursday, 29 December 2016 0

Tanzania inatarajiwa kuandaa maonesho ya wazi ya kilimo yatakayofanyika Januari 26 na 27 mwakani katika mji wa Arusha. Maonesho hayo...

Orodha ya Teknolojia na Vifaa vilivyozinduliwa na Kampuni ya Google Mwaka 2016

poatel Africa Wednesday, 28 December 2016 0

Zikiwa zimesalia siku chache kuukamilisha mwaka 2016 na kuhukaribisha mwaka 2017, TeknoTaarifa inakufahamisha Teknolojia na Vifaa viliv...

Kampuni ya Huawei inasifika kwa kuunda bidhaa ngumu na imara

Unknown Monday, 26 December 2016 0

Kampuni ya Huawei inasifika kwa kuunda bidhaa ngumu na imara TeknoTaarifa imebaini hilo kupitia matukio haya. Simu ya Huawei P8 Lite ili...

Picha 10 za Barabara ya kwanza iliyotengenezwa kwa Sora paneli

Unknown Friday, 23 December 2016 0

  Barabara ya kwanza iliyotengenezwa kwa Sora paneli za kuzalisha umeme kwa nishati ya jua imezinduliwa huko Tourouvre Ufaransa. ...

Google wamekuja na Program mpya kwa ajili ya walemevu

poatel Africa Tuesday, 20 December 2016 0

Huduma ya ramani ya Google yaongeza programu mpya kwa ajili ya walemavu wanaotumia magari ya walemavu . Programu hiyo itarahisisha mais...

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Uludag Waunda Gari la umeme

poatel Africa Sunday, 2 October 2016 0

Wanafunzi 7 wa kitivo cha uhandisi wa mashine cha chuo kikuu cha Uludag nchini Uturuki wamefanikiwa kuunda gari la kutumia nishati ya ...