Header ads

Header ads
» » Google yatajwa kuwa na thamani zaidi duniani


Kampuni ya Google imetambulika kuwa bidhaa yenye thamani zaidi kwa mujibu wa shirika la fedha la linalojihusisha na ukaguzi wa thamani ya bidhaa za kimataifa .https://www.google.com/logos/doodles/2015/googles-new-logo-5078286822539264.3-hp2x.gif
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na shirika hilo Google imeongezeka thamani kwa asilimia 24 na kuwa na dola bilioni 109.5 ikilinganishwa na mwaka jana ambapo ilikuwa na dola bilioni 88.2.
Google imeiacha Apple nyuma baada ya kushuka thamani kwa asilimia 27 na hivyo kufanya kampuni hiyo kuendelea kung'ara ikilinganishwa na makampuni mengine ya kimataifa.
Umaarufu wa kampuni hiyo umeendelea kukua kila siku kutokana na namna inavyotumiwa katika kutafuta taarifa mbalimbali duniani.

Imehaririwa na;- ...

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post