Header ads

Header ads
» » » Teknolojia ya Drone yatumika Kupima ramani Mpya ya Jiji la Dar


Mamlaka ya mji wa Dar es Salaam, imeanza kutumia vifaa vya elektroniki vinavyopazwa angani, kuchukua picha zitakazotumiwa kuchora ramani ya miundombinu, ambayo inaweza kuokoa maisha iwapo litatokea janga kama mafuriko. 

Figure 3 Google maps snapshot shows little information on what are actually densely populated areas of Dar es Salaam. Retrieved on 3 December 2015.

Tazama vidio kwa maelezo zaidi.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post