Kwa wale ambao wamekua wakikereka na uwepo wa picha za uchi na chafu kwenye mtandao wa Google hii itakua habari nzuri kwao
Mtandao wa google kwa sasa umekubali kuondoa zile picha zote za uchi na chafu
Google mwanzoni walitupilia mbali (walikataa) ombi hilo la kuzifuta picha zote chafu ...ingawa kwa sasa wamekubali lakini kupitia makamu raisi wa mtandao wa google Amit sighal alisema kuwa hawatazifuta kabisa picha hizo lakini hazitaweza kuonekana kwenye orodha ya vilivyotafutwa
Mashine hiyo ya kuficha picha hizo itaanza kufanya kazi wiki chache zijazo..
Kwa habari nyingi nyingine nakusihi endelea kubaki hapa hapa upate kufahamu mengi
.....Ahsante.....