Mkongwe kwenye filamu za kupigana (action) kutoka hollywood nchini marekani Arnold Schwarzenegger ijumaa ya wiki iliyopita alikua Paris nchini ufaransa kwenye ziara yake ya utambulisho wa movie yake mpya iitwayo Terminator Genisys
Katika ziara hiyo mkali Arnold Schwarzenegger alitembelea sehemu za vivutio akiwa sambamba na mpenzi wake Heather Milligan
Kwa habari nyingi nyingine upate kujua zaidi endelea kubaki hapa hapa ,lakini pia mshirikishe na mwenzako asome hapa
....Ahsante...