Header ads

Header ads
» » HUYU NDIYE BINTI WA MIAKA 11 ALIYE NA URAFIKI NA NYOKA AINA YA COBRA

 

Binti wa miaka  11 mwenye asili ya kihindi ameonekana kuwa na hali ya maisha tofauti baada ya kumfanya nyoka kuwa kama ndio rafiki yake,mtoto huyu anye miliki nyoka aina ya kobra ambaye nyoka huyo hugonga na kumng'ata mara kwa mara lakin cha ajabu ni kwamba mtoto huyu amekuwa hasiki kabisa juu ya swala lake la kumwacha nyoka huyo na bado akiendelea kumpa matunzo kama chakula na hata kufikia hatua ya kulala naye kabisa katika kitanda kimoja,Mtoto huyo anayejulikana kwa jina la Kajol Khan alihojiwa na mtandao wa daily mail na ailikuwa na haya ya kusema 

“I have a lot of fun with the cobras. It hurts when they bite me, but sometimes it’s my own fault because I tease them. It’s quite funny.”

Picha zingine za mtoto huyu akiwa na nyoka wake ziko hapa chini 






 


 


Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post