Header ads

Header ads
» » Tuhuma za Udukuzi katika uchaguzi mkuu wa Marekani zaitafuna Urusi



Ikulu ya Marekani imetangaza kuweka vikwazo vikali dhidi ya mashirika na watu wa Urusi kutokana na tuhuma za kufanya udukuzi katika uchaguzi mkuu wa Marekani. Rais Barack Obama wa Marekani ametoa taarifa akisema mashirika na watu 9 wa Urusi yakiwemo mashirika mawili ya kijasusi yatawekewa vikwazo. Mbali na hayo, wizara ya mambo ya nje ya Marekani pia imetangaza kuwatimua maofisa 35 wa Urusi na kusema watu hao wanafanya kazi kwa njia isiyoendana na hadhi yao ya uanadiplomasia.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post