Header ads

Header ads
» » Mwanariadha wa Ethiopia amevunja rekodi ya Dunia iliyowekwa mwaka 1993.

Mwanariadha wa Ethiopia avunja rekodi ya dunia


Awali rekodi hiyo iliwekwa na Mchina Qu Yunxia mnamo mwaka 1993. Dibaba aliivunja rekodi hiyo kwa sekunde 0.39.

Genzebe Dibaba alishiriki katika mashindano YA Elmas ya riadha yaliyoandaliwa na Shirikisho la riadha duniani(IAAF) mjini Monaco. Dibaba alivunja rekodi ya mbio za mita 1500.

Licha ya rekodi hiyo, Genzebe Dibaba ambaye pia ni mdogo wa Tirunesh Dibaba aliweka rekodi nyingine katika mbio za mita 3000tarehe 6 Februari 2014, Mbio za mita 5000 tarehe 19 Februari mwaka 2015.
Aidha Dibaba amekua ni Muethiopia wa kwanza kuvunja rekodi hiyo ya mita 1500.
Wakat huohuo Mturuki mwenye asili ya Kenya, Ali kaya amefanikiwa kushika nafasi ya 7 katika mbio za wanaume za mita 3000 na kuvunja rekodi ya Uturuki.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post