
Leo nimepata taarifa inayo muhusu msanii wa Bongo fleva wa kitambo hicho anayetambulika kwa jina la Daz Baba, .Huyu ni msanii mkubwa
na maarufu sana hapa Tz na uhakika kila mtu atakuwa anamkumbua#DazBaba
aliyekuwa na mmoja katika kundi la#Daznundaz kama sikosei...Taarifa hizo zinadai msanii huyo yupo katika hali mbaya sana.. Sababu ya
kuwa hivi ni#Madawa_ya_kulevya.. Na chanzo kikubwa cha madawa ni baadh
ya matajiri kujiingiza katika biashara hii ambayo inatuharibia nguvu
kazi ya taifa..#Daz ni kijana mdogo sana na ukimwangalia kwenye pic
utadhani mzee...Naamini bado hatujachelewa tunaweza kubadilisha maisha
ya kihana mwenzetu kama alivyo @rayc kwa sasa.. .Toa ushauri wako
kuhusiana na vijana wenzetu kuingia kwenye makundi ya utumiaji wa madawa
ya kulevya.. Nini chanzo na tufanyaje ili kukomesha janga hili