Header ads

Header ads
» » » DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA MAKAMUZI KATIKA UTOAJI TUZO ZA MWANASOKA BORA WA AFRIKA LEO

Diamond Platnumz akifurahia jambo na mmoja wa wasanii wa Kundi la P Square, Peter Okoye wakati akijiandaa kwa ajili ya shoo yake ya leo nchini Nigeria.
Diamond akibadilishana mawazo na mwanamuziki Fally Ipupa jijini…
Diamond Platnumz akifurahia jambo na mmoja wa wasanii wa Kundi la P Square, Peter Okoye wakati akijiandaa kwa ajili ya shoo yake ya leo nchini Nigeria.
Diamond akibadilishana mawazo na mwanamuziki Fally Ipupa jijini Lagos.
MKALI wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' leo atakinukisha katika sherehe za utoaji tuzo za Mwanasoka Bora wa Afrika kwa mwaka 2014.
Zoezi hilo litafanyika leo Januari 8, 2015 jijini Lagos nchini Nigeria kuanzia majira ya saa 3 usiku.
Wakali wengine watakaokuwepo kutoa burudani leo ni pamoja na P Square, Flavour, Uhuru, Fally Ipupa na wengineo.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post