Muonekano wa mahabusu aliyekuwa anatuhumiwa kubeba madawa ya kulevya, Abdul Koroma raia wa Sierra Leone baada ya kupigwa risasi.
Koroma akiwa kwenye machela tayari kwa kupelekwa kuifadhiwa hospitalini.
Mtuhumiwa
wa madawa ya kulevya raia wa Sierra Leone akiwa amepigwa risasi baada
ya kutaka kuwatoroka askari magereza katika Mahakama ya Kisutu jijini
Dar es Salaam.
MAHABUSU aliyekuwa anatuhumiwa kubeba madawa ya kulevya, Abdul
Koroma raia wa Sierra Leone ameuawa kwa kupigwa risasi na Askari
Magereza wakati akijaribu kutoroka katika eneo la Mahakama ya Kisutu
jijini Dar leo!