WhatsApp, ambayo ni huduma ya
ujumbe mfupi wa pupa, imeendelea kupata maboresho baada ya hii. Sasisho hili la
sasa linakuwezesha kujua nani katika kundi kaona ujumbe ulioutuma kwa
kushikilia ujumbe uliotuma na kubofya kitufe cha taarifa kama inavyooneshwa
kwenye picha hapa chini.
1. Ingia kwenye group lako then andika ujumbe
2. Bofya ujumbe ulioandika bila kuachia hadi uwe na rangi ya blue kama ilivyo pichani
3. Bofya kitufye cha maelezo (information) hapo kwenye dura na mshale mwekundu.
1. Ingia kwenye group lako then andika ujumbe
2. Bofya ujumbe ulioandika bila kuachia hadi uwe na rangi ya blue kama ilivyo pichani
3. Bofya kitufye cha maelezo (information) hapo kwenye dura na mshale mwekundu.
4. Baada ya hapo utaweza kuona orodha ya watu waliotazama ujumbe wako
Taarifa zinazoonekana ni pamoja na
ujumbe uliotumwa, orodha ya wanakundi waliosoma ujumbe na idadi ya namba
zilizosalia kusoma ujumbe huo. Katika siku za hivi karibuni, WhatsApp
inaendelea kubadilisha vile
tunavyozungumza ki-teknolojia kwa
kujaribu kuweka mambo wazi zaidi. Wengi wanaona kwamba suala hili linazidi
kumong’onyoa fragha na kuna uwezekano kukawa na ahueni kwao katika siku za
karibuni ila kwa sasa, roho yako inaweza kutulia kujua kwamba
Habari
za waliopokea na kusoma Ujumbe wa Kundi, ikionesha pia idadi ya watu ambao bado
hawajasoma ujumbe.
>>>Tafadhali Click link zifuhatazo kuhungana Nami FACEBOOK , TWITTER na INSTGRAM