Rapa kutoka nchini marekani Meek mill ambae pia ni mpenzi wa rapa Nick minaj, ametoa ngoma yake mpya iitwayo 'all eyes on you' kutoka kwenye albam yake ya
'Dreams worth more than money'
Kwenye ngoma hiyo 'all eyes on you' ameamua kufunguka na kuelezea kwa ukubwa mapenzi yake na nicnk minaj
Hizi ni baadhi ya picha za utengenezaji wa video Yao ya all eyes on you nick minaj akicheza kama muhusika mkuu ,zicheki hizi nlizobahatika kuzipata
Asante kwa kupitia hapa kuisoma hii kwa habari nyingi nyingne ,endelea kubaki hapa hapa utazipata lakini pia mshirikishe na mwenzako azipate hizi