Mambo vipi Rafiki kama na wewe ni mpenzi wa simu kalii, basi huu ndio mzigo mpya wa simu 10 bora unaotarajia kuingia sokoni kwa Mwaka huu 2016, Hivyo basi Jiandae kuchukua vitu vipya vilivyo na muonekano tofauti na zenye uwezo wa hali ya juu.. Hapa nimekuwekea aina ya simu pamoja na sifa zake
1. LG G5
Baada
ya Nokia G4 sasa Nokia wamejipanga kutoa simu nyingine mpya itakayo kwenda kwa jina la LG G5
Zifutazo
ni Sifa za LG G5
1.
Full QHD display or UHD display
2.
4 or 5 GB RAM
3.
Snapdragon 810 or on other Best
upcoming Processor
4.
21 MP which can take 4k images
5.
With latest OS M
2. Samsung galaxy 7
Baada ya Uzinduzi wa Samsung galaxy S6 sasa watu watarajie ujio mpya wa Galaxy S7, hila Sumsung hawajataja Tarehe ya kutolewa kwa simu hiyo ya Samsung galaxy 7 , lakini simu hizi zitaanza kuapatikana katika nchi za Marekani, Brazil, na nchi nyingine
Zifutazo
ni Sifa za Samsung galaxy 7
1.
Quad-core 4.0 GHz 64 bit processor With 6 or 8 GB of RAM
2. Samsung Galaxy S7 will have a 5g network
3. ultra high super amoled display which is 4k, or 5k 5.5-inch.
4.
Simu hii itauzwa kwa Dolla 1111
3. Xiaomi Mi 6
Xiaomi Mi 6 watu wanatarajia
mengi zaidi kutoka Xiaomi smartphones,
Xiaomi ni kampuni ambayo ni nzuri na inaamika kwa kuwa maarufu kwa bei nafuu katika simu zake au
vifaa vyake.
Zifutazo
ni Sifa za Xiaomi Mi 6
1.
Ultra HD 2160 x 3840 pixels Super
AMOLED display
2.
Qualcomm Snapdragon 820
3.
with 4GB of powerful RAM
4.
may come with 5g network
5.
4200mah battery
6.
21-Megapixels back and 13-Megapixels
front camera
4. OnePlus Three
OnePlus 3 itakuwa
mrithi wa OnePlus 2. Lakini ni wazi kwamba OnePlus 3 itakuwa na ufanisi zaidi
na nguvu zaidi kuliko toleo lake lilopita. Toleo la awali la simu ya OnePlus two
ni nzuri maarufu kwa kamera na Utendaji wake
ambao unawavutia wengi. Simu hii inatarajiwa kuzinduliwa Mwishoni mwa mwaka huu
kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi Mr Car Pei
Zifutazo
ni Sifa za OnePlus Three
- 5GB RAM
- feature a 5.5-inch UHD display
- 4400mah battery
- Snapdragon 820 processor
- 21-megapixel back and 13-megapixel front cam
- and run on Oxygen OS with android M
5. Oppo find 9
Oppo find 9 hii ni
moja ya simu iliyokwenye orodha ya smartphone 10 bora toka mwaka 2015. Kupitia
simu ya Oppo 7 sasa Opps nao wamejipanga kutoa simu mpya na kali ambayo itakuwa
mrithi wa Oppo7 ambayo itatambulika kwa jina la Oppo 9 itakayoingia sokoni ndani ya 2016
Zifutazo
ni Sifa za Oppo find 9
1.
RAM would be no less than 4GB
2.
20-megapixel and 8-megapixel front
3.
2560x1440p pixels resolution
4.
64GB of inbuilt memory
5.
5,5 inches size
Baada ya kutoa Iphone 6 na Iphone 6s pamoja, sasa Apple wamejipanga kutoa toleo jingine la la simu kwa mwaka 2016. Sote tunajua ni kiasi gani watu wanapenda vifaa vya apple. Hivi karibuni baada ya kutoka kwa 6s sasa tayari imeshamiri katika soko. Hivyo sasa ni muda wa kusubiri kwa kifaa kipya cha iphone Apple 7 na hipo tayari imebaki kudondoka sokoni tu, Simu hii ya I phone7 itakuwa ya kwanza kupatikana katika nchi Marekani, China, Australia, Uingereza, New Zealand, Japan, Ufaransa, Ujerumani, Pwetoriko, Singapore, Hong Kong na mwingine
Zifutazo ni Sifa za Apple iphone 7
- The iPhone 7 will be packed with iOS 10
- Upgraded Apple A10 chipset processor
- Have an e-SIM traditionals SIM card will no more.
- iPhone 7 may with a sidewall display
- Reversible USB charger
- Iphone 7 inatarajiwa kuhuzwa kwa gharama ya Dolla $937
7. Microsoft Lumia 940 & 940 XL
sehemu kubwa ya waunda simu kubwa duniani imebainika Microsoft ni moja ya makampuni yanayoongoza kwa simu bora, Simu nyingine ya Lumia inatarajiwa kuwa Microsoft Lumia 940 na simu hii inawezekana kuwa ya Windows 10.
Zifutazo ni Sifa za Microsoft Lumia 940 & 940 XL
- 1440 x 2560 pixel QHD screen
- 5.7-inch show when measured
- 940 XL Octa-Core Snapdragon 810
- 940 with Hexa-Core Snapdragon 808
- Adreno 430 GPU
- 3GB RAM
- Windows 10
- 20 megapixel Carl Zeiss back camera
- a 5MP front snapper
8. Sony Xperia Z6
Simu hii itakuja baadaya Xpreia Z5, smartphone Sony Xperia Z6 ambazo zilikithili uliokithiri . Sasa Sony wamejipanga kufanya simu bora za smartphone Katika soko la simu Duniani kote.
Zifutazo ni Sifa za Sony Xperia Z6
1.
Qualcomm 820 chipset or true
Octa-Core chip 3GHz+ processor
2.
4 or 5 GB RAM
3.
5 inches of 4K resolution display
4.
27MP rotator camera sensor
5.
Touch ID or fingerprint sensor and
Also with a retina scanner
6.
128GB on-board storage memory
7.
Waterproof, dustproof and also
shockproof
8.
Fast charging battery which charge
very soon
9.
sporting full 4K screen
10.
The new Type-C USB port
9. Nokia C1
Zifutazo ni Sifa za Nokia C1
1.
2GB of RAM
2.
32GB internal storage
3.
4G support
4.
8-megapixel rear camera and
5-megapixel front camera
5.
5-inch display
6.
Gharama ya simu itakuwa Dolla 300
10. Samsung Galaxy note 6
Samsung Galaxy Note 6 inatarajiwa kuwasili au kuingizwa sokoni miezi michache baada ya Samsung Galaxy S7, Galaxy Note 6 inatalajiwa kuwasili mwezi Agosti au Septemba 2016. Lakini sasa tunaweza kusema wazi kwamba kifaa hiki itakuja na umbo zuri wakati huu, simu hii itakuwa na wembamba wa 4.5 mm.
Zifutazo ni Sifa za Sumsung Garax Note 6
- 30MP and 16MP isocell camera
- 6 GB RAM can touch up to 8GB
- Include 4700mAh battery
- Storage option from 16GB to 256GB
- Samsung Exynos 9 Octa processor
- 5.5-inch 4K display
References and useful resources:
tekz24 Website na smartphone2016 News