Kampuni ya Nokia yajiandaa kuingilia soko la saa za kisasa
Nokia inatarajiwa kuunda saa za Android Wear kuanzia miezi mitatu ya kwanza ya mwaka 2016.
Nokia inaarifiwa kuchukuwa hatua hiyo kutokana na ukosefu wa mafanikio makubwa yaliyotarajiwa kupatikana kwa simu zake za kisasa zilizoundwa kwa mfumo wa Windows Phone.
Maelezo yaliyotolewa na vyanzo vya karibu vya Nokia yanaarifu kwamba kampuni hiyo imepanga kufanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya saa za kisasa.
>>>Tafadhali Click link zifutazo kuhungana Nami FACEBOOK , TWITTER na INSTGRAM