Kampuni ya Huawei inasifika kwa kuunda bidhaa ngumu na imara TeknoTaarifa imebaini hilo kupitia matukio haya.
Simu ya Huawei P8 Lite ilipookoa uhai wa mwanaume wa miaka 41 pale alipovamiwa nje tu ya nyumba yake, Alipigwa risasi ambayo kwa bahati tuu ilipiga kwenye simu yake ya Huawei iliyokuwa kwenye mfuko wa koti lake.
Simu hiyo ya Huawei P8 Lite ilikuwa na ubora wa kutosha kuweza kutoruhusu risasi hiyo kupenya kwa urahisi na kuingia kwenye mwili wake. Risasi ilinasa ndani ya simu.
Simu ya Huawei P8 Lite yenye ukubwa wa inchi 5 inakijumba cha plastiki (housing) na inapatikana kwa takribani Tsh laki 4.
Habari ya tukio hili iliandikwa kwa kujivunia sana huko nchini China. Wakifurahia kuona ubora wa bidhaa zao.
Huawei walimpa zawadi ya simu nyingine Bwana Abrahams baada ya kupata taarifa kuhusu tukio hilo.
Hii si mara ya kwanza kwa kifaa cha Huawei kuokoa uhai wa mtu. Tovuti ya QZ.com inasema mwaka 2013 nchini Kenya, mtafiti Dennis Mbuvi naye alinusurika kifo baada ya risasi kunasa kwenye tableti yake ya Huawei.
Simu za viwango vya juu kutoka Huawei zimeanza kukubalika kwa kasi katika mataifa ya Ulaya na ata Marekani. Kuna mtazamo ya kwamba kwa sasa viwanda vinavyoweza kutengeneza bidhaa zenye ubora wa kimataifa.
Topics: TEKNOLOJIA
Imehaririwa na;- Unknown
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
Kwa wale Rafiki zangu wa ma-gadgets and all that... wanaopenda vitu Vikalii. Hii ndiyo orodha ya simu ambazo zimetambulika kuwa...
-
KAIMU KATIBU MTENDAJI BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA Dkt. Charles E. Msonde. TAREHE: 16 JULAI 2014 TAARIFA YA MATOKEO...
-
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amesema serikali imeamua kufanya jitihada hizo baada ya kubaini kut...
-
nimekusanya list ya vitu 5 ambavyo kwa nchi za wenzetu kama Marekani, Ujerumani, Hispania, Ufaransa na Bangladesh pamoja na sehemu nyingine ...
-
Mambo vipi Rafiki yangu? Kama wewe ni miongoni mwa watu wanaopendelea kuweka Pattern kwenye simu zenu kwa usalama zaidi, Basi msijali...
-
Kwa kawaida wajasiriamali wengi hasa wadogo wadogo huzingatia mipango ya kukuza mitaji, kuimarisha uwezo wa wafanyakazi, kukuza faida, k...
-
Kampuni ya simu nchini China ya Huawei yatoa tarakilishi zilizo na mtandao wa interneti kwa shule kadhaa magharibi mwa Uganda. Hatua hi...
-
Miaka miwili baada ya India kuzindua Nirbheek,bunduki inayodaiwa kuwa ya kwanza ya wanawake,kiwanda cha kutengeza silaha cha taifa hi...
-
Cocaine ilionaswa Polisi wa Ufaransa wamemkamata afisa mmoja wa kukabiliana na mihadarati ...