Header ads

Header ads
» » Ujio wa Macbook Selfie Stick!!! Ni mwendo wa kujiselfisha kwa Laptop



13

M
ambo vp Rafiki zangu wapenzi?. Kwa wale wapenda selfie sasa mtarajie MacBook selfie stick yaani ni mwendo wa kujiselfisha na Laptop na siyo Simu pekee. Kwanza kulikuwa na selfie. Kisha Hikaja  na Selfie stick. Sasa tuna MacBook Lapotop  Selfie stick. Kifaa  kitatumika kwa ajili kuchukua picha aina ya selfie kama kwenye simu vile.
Vijiti hivyo vya Selfie vimekuwa marufuku katika Jamii kote Ulimwenguni, na zinatumia sehemu mbalimbali kama  kumbi nyingi za umma, makumbusho, kumbi za starehe, baadhi ya vivutio maarufu duniani vya utalii na katika  mazungumzo. Kwa hali hiyo, kunaweza kuwa na soko kubwa zaidi kwa MacBook Selfie stick .

25

1

  •                         Picha za ziada za MacBook Selfie stick

Hivi sasa katika Guinness World Record  inashikiliwa na Ben Stiller aliyepiga selfie kwa kutumia selfie stick ndefu zaidi nyenye kuchukua picha umbali wa mita 8.56.


CHANZO:.qatarday Website, PICHA NA: petapixel.com



>>Lengo langu ni kuakikisha upitwi na Habari za Teknolojia ungana Nami FACEBOOK , TWITTER na INSTAGRA

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post