Header ads

Header ads
» » Simu mpya ya Huawei P9 kuzinduliwa tarehe 9 March Mwaka 2016




K
ampuni ya simu ya Huawei inawaletea simu mpya aina ya Huawei P9, Ni baada ya kutoka kwa simu ya  Huawei P8  iliyozinduliwa mwaka jana mwezi Aprili, ambayo ilikuwa na mafanikio makubwa. Ni matumaini yangu kwamba Huawei P9 itakua na ubora wa hali ya juu  zaidi.
Kwa mujibu wa Website ya Android Pit, tukio la  uzinduzi  wa simu hiyo P9 utafanyika  mjini Berlin, Ujerumani, Machi 9. Simu hiyo inauwezo wa kutambua kitu chocho kwa haraka zaidi, Hii ni baada ya kumwaga Bia kwenye kioo cha simu hiyo, na maandishi yakatokea yakisomeka  "Bia" yakiambatana na picha.
 Huawei p9
Pichaikionyesha bia ikimwagwa katika kioo na maandishi yametokea chini yakisomeka "Bia." Picha na: Huawei Inc
Uwezo wa simu
 At the back two cameras are visible on the top corner along with autofocus sensors and dual-LED flash. Image Credit: VentureBeat
Camera ndiyo usiseme, Simu hiyo itaweza kuchukua picha za full HD, na itakuwa na  kamera mbele na nyuma lakini nyuma kutakuwa na Kamera pili zenye uwezo wa  megapixel sensor  12,  Memory itakuwa na ukubwa wa  6 GB, uwezo wa betri  ni 3900mAh, USB Type-C,  3.5mm jack, Kirin 955 processor Chip na simu hii ya  Huawei itakuwa na kasi kuliko hata nguvu ya Samsung’s powerful Exynos 7420. Swali Je Huawei P9  inaweza kuwa simu yenye uwezo wa hali ya juu sana kwa simu za Android?

>>Lengo langu ni kuakikisha upitwi na Habari za Teknolojia ungana Nami FACEBOOK , TWITTER na INSTGRAM

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post