Header ads

Header ads
» » Madaktari India wamedai Nihatari kutumia App za Simu kupima afya



 
K
wa mtazamo wa ongezeko la matumizi ya program za simu kuhusu upimaji wa  afya, madaktari nchini India  wamewataka watu kuacha  kutegemea na kuziamini program hizo kwa kupima afya zao na kama zinaweza kutoa makisio sahihi. 

"Application nyingi zipo kwa ajiri ya kujipatia kipato tu kwa wamiliki. Kuna App za afya ambazo wanadai kupima shinikizo la damu kwa kifupi kuweka thumb juu ya screen. Hizo ni  mbinu za kupotosha" alisema Pradeep Gadge, Mtaalamu wa Kisukari.
Akitoa mfano, alisema kuwa shinikizo la damu kusababisha baada ya kupima kwa njia ya Application za afya  daima ni tofauti na kupima Hospitali. 

"There are situations when health application users rely on it for the calories burn during the entire day along with several other things, without even realising that such applications are pre set and do not show the actual results” alisema Gadge, nimenukuu.
Kwa mujibu wa madaktari, kuna wastani Application za Afya 50,000 katika soko na hii unatarajiwa kukua. Hivi sasa, watu milioni 500 duniani kote utumia Application hizo kwa kupima afya zao. 
Sudhir Kumar, Delhi diabeteologist, alisema: "Watu wanataka matokeo ya papo hapo na ya halaka zaidi wanafuata njia yao wenyewe kwa kupitia programu au baadhi ya mbinu badala ya kwenda kwa njia ya asili au njia inayohitajika kwa madaktari".  


Pamoja na umaarufu na ahadi za programu hizi, "Mimi nina wasiwasi zaidi kuhusu haya. Watu wanahitaji kuelewa kwamba miongozo ya afya kwa watu kutofautiana. "
Alisema kuwa utafiti wa hivi karibuni umebaini kuwa matumizi mbalimbali ya Application hizo za afya zimekuwa zikionyesha wana aina kadhaa ya magonjwa  kwa watumiaji wake, lakini wakati wanapofika Hospitali kwa  ushauri daktari wanakutwa hawasumbuliwi na Magojwa yeyote au kinyume cha Hapo
SOURCE: only24news.com
MHARIRI : Abdallahmagana.com 
>>Lengo langu ni kuakikisha upitwi na Habari za Teknolojia ungana Nami FACEBOOK , TWITTER na INSTAGRA

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post