Header ads

Header ads
» » Watumiaji wa Simu Barani Afrika wanakisiwa kuwa zaidi ya milioni 700




Sasa barani Afrika kuna zaidi ya watumiaji wa simu milioni 700 na zaidi, hii ni mara nane zaidi ya idadi ya watumiaji wa simu za mkononi Afrika toka  mwaka 2000, kulingana na ripoti iliyotolewa na Chama cha Mawasiliano ya Kimataifa (International Telecommunication Union--ITU).
Ripoti hiyo ilionyesha kuwa teknolojia ya simu imekuwa muhimu katika kukuza ushirikino wa kibiashara  barani Afrika; na pia kuwezesha mawasiliano ya simu za kimataifa kuongoza kupanua bidhaa zao na kushindana kwa sehemu ya soko. 
Simu za mkononi sasa utoa huduma za kibenki katika nchi nyingi Afrika, nchi zinazoongoza kwa  huduma hizo ni Kenya, Uganda, Tanzania,Ivory Coast, Zimbabwe, Botswana, Rwanda na Afrika Kusini.
CHANZO: International Telecommunication Union (ITU)
MHARIRI: AbdallahMagana.com

>>Lengo langu ni kuakikisha upitwi na Habari za Teknolojia ungana Nami FACEBOOK , TWITTER na INSTGRAM

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post