Header ads

Header ads
» » Twitter yapanga kupunguza idadi ya wafanyakazi wake

 Twitter kupunguza idadi ya wafanyakazi wake


Kampuni kubwa ya mtandao wa jamii wa Twitter, imetangaza mpango wake wa kuwatema wafanyakazi kadhaa ili kupunguza gharama za matumizi.
Mtandao wa Twitter ambao una wafanyakazi wapatao 4,100, umechukuwa uamuzi wa kuwafuta kazi asilimia 8 ambayo ni sawa na wafanyakazi 336.
Mkurugenzi wa Twitter Jack Dorsey alitoa maelezo na kusema kuarifu kuchukuwa uamuzi huo kutokana na kushuka kwa kiwango soko la hisa kwa asilimia 7.
Kwa kupunguza idadi ya wafanyakazi wake, kampuni hiyo inaamini kwamba itaweza kurudisha gharama na matumizi katika hali ya kawaida.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post