Header ads

Header ads
» » Facebook yaboresha Kitufe cha ‘Like’ kwa kuongezewa hisia za uso

Facebook yaongeza hisia za uso kwenye kitufe cha ‘Like’


Mkurugenzi wa Facebook Mark Zuckerberg, ameweka video mtandaoni inayoelezea maboresho mapya ya kitufe cha ‘Like’.
Kwa mujibu wa video hiyo, Facebook imeongeza hisia za uso kwenye kitufe chake cha ‘Like’.

Maboresho hayo yameibuka siku chache baada ya Facebook kutangaza mpango wake wa kuweka kitufe cha ‘Dislike.’
Kulingana na maelezo ya Zuckerberg, Facebook inasemekana kupendekeza maboresho hayo ili kuwawezesha watumiaji kujieleza hisia zao kuhusiana na ujumbe au kitu chochote kitakachosambazwa mtandaoni.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post