Header ads

Header ads
» » Habari njema kwa wapenda soka, Unaweza kutazama Bundesliga bure kwa kutumia simu yako


Unaweza kufuatilia ligi ya Bundesliga kupitia king’amuzi cha Startimes lakini kama wewe si mteja wao usitie shaka, kuna njia mbadala unayoweza kutumia kutazama LIVE michuano hii kupitia simu yako ya mkononi tena BURE kabisa.
Unachotakiwa kufanya ni fuata hatua zifuato.
1. Hakikisha unatumia simu yenye Android, au kama una simu hizi Samsung, Huawei, HTC, Techno, Sony au nyingine yoyote inayotumia Android.
2. Nenda kwenye Playstore ( unakodownload apps zingine) kisha search neno Tenbre.
3. Install application ya tenbre, jiunge Bure na Tazama Bundesliga bure.
Usisahau kunipa hapa mrejesho, je umeionaje?

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post