Header ads

Header ads
» » Mkongwe Huyu wa Komedy Nchini Kenya Mzee Ojwang Afariki Dunia


Mwigizaji wa filamu za vichekesho wa Kenya Benson Wanjau maarufu kama Mzee Ojwang (pichani) amefariki dunia Jumapili jioni katika hospitali ya Taifa ya  Kenyatta National alikokuwa amelazwa kwa matibabu. 
Taarifa kutoka NAirobi zinasema alikuwa anaumwa "Nimonia" (Pneumonia). 

Marehemu Mzee Ojwang alijipatia umaarufu mkubwa Afrika Mashariki kwa vituko vyake kwenye filamu za Vitimbi, Vioja Mahakami, Vituko na  Kinyonga. 
Alikuwa haonekani kwa muda mrefu kwenye televisheni za Kenya na mashabiki wake wakiwemo wa Tanzania walikuwa hawaishi kumuulizia aliko bila kupata jibu. 
Mola aiweke Mahali pema roho 


ya Mzee Ojwang - Amin.

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post