Header ads

Header ads
» » BAADA YA KUPATA JOTO LA KUTOSHA HIVI NDIVYO MVUA ILIVYO PUNGUZA JOTO JIJINI DAR

Taswira ya Mtaa wa Ohio katikati ya jiji la Dar es Salaam ulivyokuwa umekumbwa na maji.…wakati MVUA kubwa iliyonyesha leo Desemba 29,2014 na kusababisha mafuriko katika mitaa mbalimbali ya Jiji hilo la Dar es Salaam na kuleta usumbufu kwa wakazi wa jiji hilo kama inavyoonekana pichani.









Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post