
Waziri wa habari na teknolojia Supa Mandiwanzira alisema.
''Tulisema kwamba sisi kama taifa endelevu ambalo linakuza teknolojia tunapuuza wazo hili la kuzipiga marufuku teknolojia hizi" ,
Supa Mandiwanzira Waziri wa habari na
teknolojia Zimbabwe
Wabunge nchini Afrika Kusini
pia wamekuwa wakilijadili ombi hilo la makampuni ya simu kusimamia
huduma hizo za OTT ambazo zinaonekana kuwa rahisi kwa matumizi CHANZO: answersafrica.com
MHARIRI: Abdallah magana