Msanii kutoka nchini Nigeria Davido amekuja na biashara nyingne baada ya kutoa T-shirt na kofia (cap) zitakazo kuwa zina lebel ya obo yaani O.B.O kama lebel itakayokua inatambulisha bidhaa zake
Huu ni mfululizo wa mastaa wengi kutoka nchi mbali mbali kujaribu kujihusisha na biashara nyngne ili kuingiza fedha ukiachilia mbali muziki kama kazi mama kwao..