H
|
atimaye watumiaji wa WhatsApp
wataweza kushare nyaraka
(Dokoment) kwa Ndugu, Jamaa, Rafiki na wengine zaidi. kipengele hiki
sasa kinapatikana kwenye Whatsapp version 2.12.453 inapatikana kwenye Google Play store. Hii pia
itawahusu Watumiaji wa vifaa vya
Android version 2.12.453 na toleo la iOS version 2.12.14 sasa itakuwezesha
kuattach 'Document' sehemu ya attachments, ambayo inaruhusu
kuambatanisha nyaraka hususani files za PDF tu,
ingawa tunatarajia mabadiliko
zaidi katika siku za usoni. Lakin mtumiaji hawezi kutuma hadi mpokeaji naye awe
ame-update toleo jipya la programu linalopatikana kwenye app stores
.
CHANZO: hindustantimes website
MHARIRI: Abdallah Magana
Topics: PROGRAMU
Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
Soma na Hizi
Programu ya simu inayohamasisha amani Sudan Kusini yaundwa
Nchini Sudan Kusini mara kwa mara imetambulishwa kwa kuwa eneo la vita ,mauaji na ghasia,sasa m...Read more »
29Jan2017Twende APP teknolojia iliyokuja kurahisisha huduma ya usafiri
WATUMIAJI wa usafiri wa bajaji, bodaboda pamoja na teksi wametakiwa kutumia huduma mbadala na s...Read more »
18Jan2017MakiniApp:#APP ya kuzuia ajali zisababishwazo na mwendokasi Barabarani
Jeshi la Polisi nchini kwa kushirikiana na kampuni ya Makini Road Safety Foundation imeturah...Read more »
08Sep2016Nipime App: Maktaba inayowawezesha wanafunzi kusoma kwa njia ya Simu
Nipime app ni application ya simu iliyobuniwa na wanafunzi vijana wa Tanzania ikiwa na lengo la u...Read more »
08Aug2016Tanzania kutumia Programu ya simu ya kupima rutuba ya udongo
Kampuni ya biashara iliyo na makao yake nchini Kenya ya 'Capture Solutions' wiki iliyopita ilita...Read more »
18Jul2016Wanafunzi Sita wa Makerere waunda programu (APP) ya vyakula asilia
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Makerere wapata mafanikio ya kuweza kuunda programu mpya ya vyakula v...Read more »
03Jun2016

Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
Computer ina uwezo wa kufanya mambo ambayo binadamu...
-
Mambo vipi Rafiki yangu? Kama wewe ni miongoni mwa...
-
Coca-Cola Kwanza Limited of Dar es Salaam, is part...
-
Si wengi wetu wanaofahamu umuhimu wa kula samaki mara...
-
The American Idol judge wore this eye popping red dress...
-
Meli kubwa zaidi ya abiria duniani iliyoundwa katika...
Data Boosta
