Header ads

Header ads
» » Amazon wametoa Saa zinazowawezesha wanafunzi kufanya Udanganyifu wa mitihani



S
aa zinazo wapa fursa  wanafunzi  kudanganya au kuibia kwenye mitihani zimewekwa  hadharani  na kuuzwa na kampuni ya Amazon. Saa hizo zitakuwa na ukubwa  4GB ya kuhifadhi Material, Pia saa hizo zinatarajiwa kuhuzwa kwa gharama ya £ 44.95.
Saa hizo ziliyoundwa kwa ajili ya udanganyifu katika mitihani na zilizowekwa program Maharum. Program hiyo inawawezesha kuweka Material, maelezo na kuhifadhi maandishi na picha  zitakazo kusaidia kujibu mtihani moja kwa moja kwa kutumia saa yako ya mkono tu,. Pia zinakuwezesha kutafuta Maandishi uliyohifadhi 
kwa kutumia screen ya saa unaweza kufanya kila kitu na mambo yakawa sawa sawiya.
Joe Sidders, naibu mkuu katika shule ya Monkton Combe, alisema, “I expect the hidden market for these sorts of devices is significant, and this offering on Amazon is just the tip of the iceberg,” alisema.
 
Mr Sidders pia alisema ni kukosekana kwa uwajibikaji wa kuuza vifaa visivyo faa na kutoa wito kwa bodi ya mtihani kuchukua hatua kwa wale waliohusika katika maamuzi hao.
Msemaji wa Amazon alisema kampuni haipo tayari kutoa maoni juu ya uuzaji wa saa hizo za ku cheat.
  CHANZO: .independent.co.uk
MHARIRI: AbdallahMagana.com



>>Lengo langu ni kuakikisha upitwi na Habari za Teknolojia ungana Nami FACEBOOK , TWITTER na INSTGRAM


Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post