Header ads

Header ads
» » Watumiaji wa WhatsApp wataweza kutuma file za PDF


H
atimaye watumiaji  wa WhatsApp  wataweza kushare nyaraka  (Dokoment) kwa Ndugu, Jamaa, Rafiki na wengine zaidi. kipengele hiki sasa kinapatikana kwenye Whatsapp version 2.12.453  inapatikana kwenye Google Play store. Hii pia itawahusu Watumiaji wa vifaa vya  Android  version 2.12.453  na toleo la iOS  version 2.12.14 sasa itakuwezesha kuattach  'Document' sehemu  ya attachments, ambayo inaruhusu kuambatanisha nyaraka hususani files za PDF tu, 
 
ingawa tunatarajia mabadiliko zaidi katika siku za usoni. Lakin mtumiaji hawezi kutuma hadi mpokeaji naye awe ame-update  toleo jipya  la programu linalopatikana kwenye app stores
.
CHANZO: hindustantimes website
MHARIRI: Abdallah Magana

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post