Header ads

Header ads
» » Mahabusu 46 waliokuwa gerezani kwa miaka 20 wapunguziwa hukumu zao na Obama

Habari njema kwa mahabusu Marekani

Rais wa Marekani Barack Obama, amewapunguzia hukumu ya kifungo cha gerezani mahabusu 46 waliofungwa kwa takriban miaka 20 nchini humo.
Mahabusu hao wanatarajiwa kuachiliwa huru mwezi Novemba mwaka huu.
Obama ambaye amewahi kuwaachiliwa huru mahabusu 89 hadi kufikia sasa, pia ameweza kupunguza hukumu ya kifungo kwa mahabusu 46 waliokuwa gerezani kwa kesi za ulanguzi wa madawa ya kulevya.
Akibainisha umuhimu wa mahabusu hao kupewa nafasi nyingine, Obama aliarifu kwamba hukumu walizopoewa kuwa ni nzito zikilinganishwa na makosa waliyoyafanya.
Obama aliandika barua na kuzituma kwa kila mfungwa ili kuwafahamisha matarajio aliyokuwa nayo kutoka kwao.
Uamuzi huo unaarifiwa kutathminiwa na kuonekana kuwa kama ishara ya mabadiliko ya mfumo wa sheria Marekani.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post