Hans
ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na
kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi
lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono
kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga
Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni.
Baada
ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa kuonesha mchezo mzuri
huku zaidi akiwapongeza mashabiki waliofurika kwenye uwanja wa taifa kwa
kuwaunga mkono.
Kwa matokeo hayo simba imefikisha pointi 26 na imekalia nafasi ya tatu
PICHA NA WADAU WA MICHEZO Whatsap