Ivory Coast wamekuwa mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka
2015 baada ya kufuinga Ghana kwa penalti 9 - 8 katika mchezo wa fainali
ulichezwa katika uwanja wa Estadio de Bata huko Equatorial Guinea.
Mlinda
Mlango wa Ivory Coast Boubacar Barry ambaye alikuwa hapangwi mara kwa
mara lakini ndiye aliyeibeba Ivory Coast baada ya kudaka penati na
kufunga penalti ya mwisho