Header ads

Header ads

Michezo ya Commonwealth 2022 kufanyika barani Afrika

poatel Africa Thursday, 3 September 2015 0

Durban itakuwa mji wa kwanza Afrika kuwa mwenyeji wa michezo ya ...

Hatimae Kaseja asaini mkataba wa kuichezea Timu ya Mbeya City

poatel Africa Friday, 21 August 2015 0

KIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amelikimbia Jiji la Dar es Salaam na kuanzia msimu ujao atakuwa jijini Mbeya baada ya kukubali kusaini...

Mourinho anapaswa kumuomba msamaha daktari wa timu Eva Carneiro kwa kumfedhehesha hadharani

poatel Africa Thursday, 13 August 2015 0

Meneja wa Chelsea,Jose Mourinho anapaswa kuomba msamaha kwa daktari wa timu Eva Carneiro ''kwa kumfedhehesha hadharani...

WATANZANIA saba wameula baada ya kuteuliwa kwenye kamati mbalimbali CAF

poatel Africa Tuesday, 11 August 2015 0

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Shirikisho la Soka Tanznia (TFF), uteuzi huo ulifanyika kwenye kikao cha Kamati ya Utendaji ya CAF ki...

Chelsea inatarajiwa kukata rufaa dhidi ya kadi nyekundu aliyoonyeshwa Thibaut Courtois

poatel Africa 0

Klabu ya Chelsea inatarajiwa kukata rufaa dhidi ya kadi nyekundu aliyoonyeshwa mlinda mlango Thibaut Courtois katika mchezo uliopigw...

Alichosema Wenger Baada ya mechi ya jana na West Ham

poatel Africa Monday, 10 August 2015 0

Kosa lililofanywa na kipa Cech, liliwapatia West Ham bao la kuongoza katika kipindi cha kwanza baadae tena kipa huyo aliyetokea ...

kama ulikuwa aujui basi hii ndiyo klabu maarufu na inayopendwa zaidi Afrika ligi ya England

poatel Africa Saturday, 8 August 2015 0

Kwa mashabiki wa soka barani Afrika, Ligi Kuu ya England ndio sasa basi, ndio mwisho wa kila kitu, ndio eneo lao la maabadi. Nembo h...

John Bocco Akataa Kujiunga na Free States ya Afrika Kusini...Nafasi yake Imechukuliwa na Huyu

Unknown Wednesday, 8 July 2015 0

MSHAMBULIAJI Frank Kalanda wa Uganda iliyoitoa Tanzania katika Raundi ya Kwanza kufuzu CHAN ya mwakani, amechukua nafasi ya John Raphael ...