Waziri Alexis Tsipras atangaza kujiuzulu wadhiwa wake Alhamisi jioni ili kufungua njia ya uchaguzi wa wabunge unaotarajiwa hivi karibuni.
Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika ifikapo Septemba 20.
Tsipras alifahamisha katika kituo cha televisheni mkuwa serikali yake itafikisha barua yake ya kujiuzulu kwa rais wa Ugiriki.