Header ads

Header ads
» » Marekani yaruhusu uuzwaji wa dawa za kuamsha hisia za kimapenzi kwa wanawake

Dawa za kuamsha hisia za kimapenzi  kwa wanawake Marekani
Shirika la madawa nchini Marekani limefahamisha kuingiza sokoni kwa dawa yake mpya inayo amsha hisia za kimapenzi kwa wanawake.
Dawa hiyo meiingizwa sokoni kwa jina Addyi ambayo imefananishwa na dawa za kuongeza nguvu za kiume.
Baadhi ya wataalamu wamefahamisha dawa hizo huenda zikaleta madhara makubwa.
Dawa hizo zilipigwa marufuku kuingizwa sokoni kati ya mwaka 2010 na mwaka 2013.
Dawa hizo zinazotengenezwa na kiwanda cha kutengeneza madawa cha Sprout pharmaceuticals kimepewa ruhusa ya kuuza dawa zake Jumanne tarehe 18 Agosti.
Janet Woodcock, mkurugenzi katika kituo cha kuchunguza viwango vya dawa alifahamisha kuwa dawa hiyo kwa niaba ya wanawake wenye matatizo ya hisia ya tendo la ndoa.
Dawa hiyo huweza kusababisha matatizo ya mishipa, kichefchefu, usingizi hata hali ya kuzimia iwapo mtu atake zitumia ni mywaji wa pombe.
AFP/Reuters

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post