Katika ripoti yake imesema kuwa nusu ya milion ya watu kwa mwaka 2030,watoto wanaweza kuwa katika hali mbaya ya kiafya kama tatizo la kutokuwa na vyoo litaendelea.
Mtoto mmoja anayetoka katika familia maskini katika jangwa la Sahara itamchukua miaka 100 kuweza kumaliza hata shule ya msingi.
katika ripoti ya UNİCEF,kwa muda wa mwaka mmoja watoto milion 6 kupoteza maisha kabla hata kuingia miaka 5.
Wanawake 289 kupoteza maisha wakati wa kujifungua.
watoto milion 58 kufariki hata kabla hawajaanza shule za awali.