Mkali ambae ambae majuzi amejinyakulia tuzo 6 kwenye tuzo za KTMA Alikiba
Hi Leo alimua kutumia usafiri wa daladala ili kukutana na mashabiki wake ,alikiba ambae baada ya kuhojiwa ni kwa nini ameamua kutumia usafiri huu Leo alijibu
"Nimeona nipande daladala hi Leo ili niweze kupata nafasi ya kukutana na baadhi ya mashabiki wangu ,ni vigumu kuwakusanya wote wanaonikubali lakini naimani kwa njia hii nitakutana na baadhi ya mashabiki wangu" alisema Alikiba
Haikuishia hapo alikiba pia aliwalipia nauli abiria wote kwenye kila daladala alizokua akipanda,
Mbagala - k/koo
Temeke - k/koo
Na nyingne ...
Ndani ya dala dala alikiba pia alitoa nafasi pia kwa mashabiki wake kumuuliza chochote ,alijitokeza Dada aliejitambulisha kama ashura na kuuliza
Ashura: ni kweli kuwa una ugomvi na diamond?? Na je unaweza kufanya nae kolabo??
Alikiba: sina ugomvi na mtu yeyote ,na swala la kushirikiana linawezekana pia ..
Kwa habari nyingi nyingine endelea kubaki hapa hapa lakini pia mshirikishe na mwenzio kuzipata hizi
.......Ahsante....