Baada ya mwanadada kutoka BONGO MOVIE. Wema sepetu kutangaza kuwa ana mpango wa kugombea ubunge wa viti maalum katika jimbo la singida wiki iliyo pita kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM
Huyu ni mkali mwingine kutoka Bongo movie ambae anatangaza nia ya uongozi kupitia chama cha mapinduzi kwa wilaya ya kinondoni lakini pia ana mpango wa kutangaza nia leo
Hii ndio post aliyotuma Msanii Steve Nyerere kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram
"@stevenyerere2 - Tuungane rasmi nami katika kutangaza nia kinondoni. Ndugu zangu punde mtakuwa na mkutano mkubwa kinondoni bwawani. Sehemu ambayo mimi nimezaliwa na kusoma na kuishi apo. So natangaza nia rasmi kuwa naweza kuwa mfano kwa vijana wenzangu. Kinondoni tumekuwa na mateso mbali mbali .kwa mfano mafuriko akuna kiongozi aliyeweza tatua. Bara bara. Mikopo midogo midogo kwa kina mama.ajila kwa vijana. Ongezeko la ada mashuleni kupanda. Nani anakemea .uchafu wa wilaya. Tiba kwa wazazi wetu leo mzazi anaenda kujifungua anaambiwa umekuja na pamba groups mkasi . Vitanda kuwa vichache kwenye wodi zote. Gari la wagonjwa ni mmoja tuu.manispaa wanachukua kodi zetu je zinafanya kazi gani. Katika kuimalisha kinondoni. Naomba kusema saa ya ukombozi ni sasa. Kijana akiwezeshwa anaweza .pamoja tutashinda. Mama zangu dada zangu kaka zangu baba zangu wadogo zangu ni mimi Steve mengere ( nyerere)@raythegreatest @ jb Jerusalem @wemasepetu @ Paulo makonda @ sabrina rupia @ davina @ jenifa kyaka@ lemutuzi @ milaji Kikwete @"