Header ads

Header ads
» » Sentensi 10 za Rais JK kuhusu mrithi wake kwenye Urais TZ 2015…



Kuna ishu ambyo imepewa Headlines sana Magazetini toka wameanza kujitokeza Wagombea Urais wa CCM, swali jingine ni kwamba eti Rais JK ana mtu ambae anamuandaa kumrithi?




Majibu yako kwenye hizi sentensi 10 nilizomnukuu "Mchakato wa Uchaguzi umeanza kwenye Vyama vya Siasa… Na sisi tumeanza mchakato kwenye nafasi ya Urais, watu wamejitokeza kwa wingi na ni nzuri kwa Demokrasia" Rais Kikwete.

“Mmoja alinitumia message akasema umenisaidia sana kufika hapa naweza kushika hata hiyo nafasi yako, nipe baraka zako.. nikamwambia ‘goodluck‘ sasa sijui ataitumia hiyo goodluck yangu kusema mzee amenichagua mie!”

“Mimi sina mtu wa chaguo langu, Chama kitatusaidia kupata Kiongozi mzuri na makini… Kama wanaogombea kwenye Vyama wataamua kupigana vikumbo mpaka kutumia na misuli itakuwa imezidi, itabidi Serikali kuingilia kati… lakini kwenye majukwaa watu kusema sisi ndio zaidi ya wale hiyo haina maneno wala haileti ugomvi“Rais Jakaya Kikwete.

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post