Hii ndiyo orodha ya simu ambazo zimetambulika kuwa ndizo za
Hii ndiyo orodha ya simu ambazo zimetambulika kuwa ndizo za gharama zaidi duniani kutokana na miundo yake pamoja na
material yaliyotumika kuzitengeneza na inasemekana kuwa simu hizi zinapatikana kwa oda maalum yaani (special order). Hebu tuziangalie.
Hii ndiyo orodha ya simu ambazo zimetambulika kuwa ndizo za gharama zaidi duniani kutokana na miundo yake pamoja na
material yaliyotumika kuzitengeneza na inasemekana kuwa simu hizi zinapatikana kwa oda maalum yaani (special order). Hebu tuziangalie.
1. iPhone 5 Black Diamond - Imebuniwa na mwingereza
Stuary Hughes, na thamani yake imekuwa ya juu zaidi kutokana na logo pamoja na home button yake kuwa ni madini ya Almasi
na cava lake ni dhahabu, na hii inapatikana kwa kiasi cha dola milioni 15.3, zaidi ya shilingi bilioni 24 za kitanzania.
na cava lake ni dhahabu, na hii inapatikana kwa kiasi cha dola milioni 15.3, zaidi ya shilingi bilioni 24 za kitanzania.
2. iPhone 4 Diamond Rose Edition - Hii
imetengenezwa kwa madini ya dhahabu na almasi pia katika nakshi zake
zote, na bei yake ni dola milioni 8, zaidi ya shilingi bilioni 12 za
kitanzania.

3. iPhone 3GS Supreme Goldstriker - Hii
ni ya tatu katika orodha ya simu za gharama zaidi duniani, Imebuniwa na
kampuni ya Goldstiker International, Imetengenezwa na kunakshiwa pia
kwa madini ya almasi na dhahabu. Thamani yake ni dola milioni 3.2, zaidi
ya shilingi bilioni 5 za kitanzania.


5. GoldVish Le Million - Hii
imebuniwa na raia wa Sweeden, Emmanuel Gueit na imepambwa kwa madini ya
dhahabu, special order na inamilikiwa na mfanyabiashara maarufu wa
Russia, Bei yake ni dola milioni 1.3, zaidi ya shilingi bilioni 2 za
kitanzania.

6. Diamond Crypto Smart Phone-Mbunifu
wake anaitwa Peter Aloisson, Simu hii imewekewa cover ya Gold na Almasi
nyingi nimetumika katika kuipatia muonekano wa
kuvutia,Bei yake ni dola milioni 1
. 

7. Gresso Luxor Las Vegas Jackpot - Hii
inatajwa kama moja ya simu kali kabisa za kifahari duniani, imebuniwa
na kampuni maarufu ya kutengeneza simu za kifahari ya Gresso, Dhahabu,
Almasi pamoja na aina ya mbao kutoka Afrika yenye umri wa miaka 200
vimetumika katika kuunda simu hii, Bei yake ni dola milioni 1, zaidi ya
shilingi milioni 161
za kitanzania
.

8. Vertu Signature Cobra - Hii
imebuniwa na Vetru, ni simu ya kifahari kwa madini yaliyotumika kufanya
muundo wake ila kimsingi ndani yake ina vile vitu muhimu tu na vya
kawaida katika oparesheni ya simu ya mkononi, Bei yake ni dola laki 3 na
10, zaidi ya milioni 501 za kitanzania

9. Sony Ericsson Black Diamond - Simu
hii imebuniwa na Garen Joh. black diamond ndiyo madinili yaliyotumika
kutengeneza kava lake, ina muonekano ya kifahari na wa kiwango cha juu,
Inauzwa dola 300,000. Zaidi ya shilingi milioni 484 za kitanzania. 

10. iPhone Princess Plus - Almasi imetumika kupamba muonekano na muundo wake, na bei yake ni dola 176,400, zaidi ya shilingi milioni 285 za kitanzania.