Header ads

Header ads
» » Rais Barack Obama AFUTURISHA waislamu White House


 Rais Obama aandaa ftari White House

Rais wa Marekani, Barack Obama aliwapokea waarifiwa 150 ikulu ya White House kwa ajili ya kuchangia futari Jumatatu.
Rais Obama alifahamisha kuwa, licha ya kuwa na imani tofauti nchini Marekani, wamerakani wote ni ndugu.
Obama alifahamisha kuwa imeandikwa kwamba ‘’watoto’’ wa mungu wanawajibu wakutenda mema bila ya kujali imani za wanaotendewa wema.
Futari ni chakula ambacho hutaarishwa katika kipindi cha mwezi wa Ramadhan na kuliwa jioni wakati wa ibada ya jioni inapo nadiwa.
Obama alisema kuwa mwezi wa Ramadhan ni mwezi ambao unahitaji kujitolea, uvumilivu na nidhamu.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post