Rapper millionare kutoka nchini marekani hii Leo alijikuta akijitia matatizoni baada ya kumshambulia kocha wa timu ya mpira wa miguu ambae mwanae anacheza wakati wa mechi ya mazoezi kwenye chuo cha UCLA
P Diddy alikamatwa maeneo ya ACOSTA ATHLETIC TRAINING COMPLEX majira ya SAA sita mchana
Hakukuwa na mtu yeyote aliedhurika/athirika na vurugu za Rapper P Diddy ,lakini pia msanii huyo akiambulia kutupiwa sero kwa mda usiopungua masaa 4 kuanzia saa sita na nusu mchana mpaka saa kumi jioni
Lakini kwa sasa rapper huyo kaachiwa huru kuwapisha polisi jijini los Angeles kwa kuwa hawana ushahidi thabiti ni kisa kipi cha vurugu
Kwa habari nyingi nyingine endelea kubaki hapa hapa utazipata zote
....Ahsante.....