Rick Ross apata fundisho juu ya ubakaji na pesa....ukikumbatia kimoja unakosa kingine...kwasababu sasa hivi Reebok wamemtema Ricky Ross
kama unakumbuka niliripoti wiki moja iliyopita kuhusu majaribu aliyoyapata Ross kutokana na wimbo wake U.O.E.N.O, ambao kwa furaha zote amesikika akisema "Put Molly [Ecstasy] all in the champagne. She ain't even know it. I took her home and I enjoy that. She ain't even know it." Tafsiri yake -- ubakaji. ingia hapa kama ulikosa kusoma
http://djfetty.blogspot.com/2013/04/yaliyomkuta-bonta-yamemkuta-ricky-ross.html
Reebok imezungumza na TMZ na kusema...."Reebok inashikilia washirika wetu kwa hali na dhamani ya juu, na sisi tuntarajia wao kuishi kwa mujibu wa maadili ya bidhaa zetu. Kwa bahati mbaya, Rick Ross ameshindwa kufanya hivyo. '