mkali kutoka bongo 255 anaekimbiza na ngoma ya wanjera Ommy dimpoz ameamua kusema ukweli kuhusu kinachoendelea mitandaoni kwenye page za wasanii
hiki ndicho alichokisema kupitia mtandao wake wa instagram
"jamani ndugu zetu tukipost kuhusu wasanii wenzetu mnatukana,tukinyamaza tunadharau tufanyeje?? wengine mnawatukania mama zao washakufa , lakini kwa taarifa yenu mimi haniumi NG'O"
https://instagram.com/p/4fHHBEQqfE/
na hizi ni baadhi tu ya comment ambazo amezipata ommy dimpoz baada tu ya kupost picha inayomuhusu msanii alikiba kutambulisha video yake ya cheketua leo