Mh Naibu wa waziri wa Sayansi na Teknolojia na Mtangaza nia kugombea nafasi ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, January Makamba anaendelea na Ziara yake ya Kusaka wadhamini katika mikoa mbalimbali ya Tanzania.
Mgombea huyo leo alikua Singinda kuomba udhamini na kapata udhamini wa kutosha kwa wanachama wa CCM singinda, Mbali na hilo Mh January alizaliwa katika mkoa huo wakati baba yake mzee Yusuph Makamba akiwa mkoa huo kikazi.
Wanasinginda wamemsikiliza kwa makini Mh January na kuamini kuwa ni kija ambaye ataleta mabadiliko kutokana na majawabu yake juu ya kero mbalimbali ambazo zinawakabili watanzania walio wengi.
January Makamba aliwambia wanasinginda kuwa wananchi wanaitaji mabadiliko na wasipoyapata ndani ya CCM watayafuata nje ya CCM, kauli iliyosemwa na Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere, Makamba amewaeleza kuwa ili mabadiliko hayo yatokee ni lazima wachague kiongozi wa aina yake ambaye akipanda jukwaani hana mzigo wowote wala hatotumia muda mwingi kujielezea lakini pia anaomba nafasi hiyo sio kwa ajili ya kumkomoa wala kupambana na mtu yeyote bali ameomba nafasi hiyo kupambana na matatizo pamoja na changamoto za watanzania.