Jana Rais wa Marekani Barack Obama amepitisha sheria ya ndoa za jinsia moja, hii imeambatana na hahtag ambayo jana imekuwa trending kwenye mtandao wa twitter! #Lovewins ni hashtag ambayo imetumika na mstaa wengi wakubwa Duniani.
Today is a big step in our march toward equality. Gay and lesbian couples now have the right to marry, just like anyone else. #LoveWins
— President Obama (@POTUS) June 26, 2015
— Ian McKellen (@IanMcKellen) June 26, 2015
Couldn't be more filled with love and hope at the Supreme Court ruling of Same Sex Marriage, I can say "it's about damn time" but I won't! ��
— Gina (@HereIsGina) June 26, 2015
— Lea Michele (@msleamichele) June 26, 2015
— Justin Timberlake (@jtimberlake) June 26, 2015
Kim kardashian pia ameandika katika mtandao wa instagram "#lovewinswhat amaizing day for equality, Proud to be an American" .