NAHODHA wa Arsenal, Thomas Vermaelen amejiunga na Barcelona kwa dau la Pauni Milioni 15 baada ya timu hiyo ya Kaskazini mwa London kugoma kuwauzia silaha wapinzani wa Ligi Kuu England, Manchester United. Beki huyo Mbelgiji amesaini Mkataba wa miaka mitano na vigogo hao wa Hispania, ambao unaaminika utamfanya awe analipwa Pauni 80,000 kwa wiki.
THOMAS VERMAELEN ATUA RASMI FC BARCELONA!