Header ads

Header ads
» » JE? KUTOKUSHILIKI TENA KWA NEYMAR KATIKA MICHUANO ILIYOBAKI YA KOMBE LA DUNIA KUTAIWEKA BRAZIL PABAYA


  • 04Jul2014
STAA wa timu ya Brazil, Neymar hataendelea na michuano ya Kombe la Dunia 2014 baada ya kuvunjika mfupa unaoshikana na uti wa mgongo wakati wa mechi yao na Colombia usiku wa kuamkia leo.
Neymar akitolewa nje ya uwanja wakati wa Robo Fainali dhidi ya Colombia.
Staa huyo mwenye mabao manne mpaka sasa kwenye michuano hiyo, alitolewa uwanjani dakika tatu kabla ya mechi yao dhidi ya Colombia kumalizika.
Neymar akiwa chini baada ya kuvunjika mfupa.
Katika mechi hiyo, Brazil walishinda mabao 2-1 na kutinga Nusu Fainali ambapo watakutana na Ujerumani Julai 8 mwaka huu.
Hivi ndivyo Neymar alivyoumia.
Kwa mujibu wa taarifa za daktari wa timu ya Brazil, Neymar atakaa nje kwa takribani wiki nne.
Neymar akipatiwa huduma ya kwanza.
WapenMashbiki wa soka nchini Brazil wakiwa nje ya hospitali aliyopelekwa Neyma

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post